Posts

Showing posts from July, 2021

Kikao kazi baina ya Balozi na wataalamu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Mambo ya Nje

Image
Mhe. Balozi Anselm Shigongo Bahati Balozi wa Tanzania Nchi Cairo akiwa katika kikao kazi na Maafisa  TEHAMA kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Katika kikao hicho  Mhe. Balozi na Wataalam walijadili namna bora ya kuboresha huduma za TEHAMA katika Ubalozi.